23 Juni 2025 - 18:10
Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Katika Mapambano hayo, dhidi ya ndege za kivita na ndege zisizo na rubani (Droni) aina ya "Hermes", "Heron" na ndege za kujilipua aina ya "Harop", walifanikiwa kuziharibu na kuziangusha katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Makao Makuu ya Ulinzi wa Anga ya Iran imetangaza: "Tangu kuanza kwa mashambulizi ya uhasama ya utawala wa Kizayuni hadi saa 1:00 asubuhi leo hii, walinzi wa anga ya taifa Iran wakiwa na mwamko kamili na utayari wa kijeshi, wamefanya mapambano na ndege za kjasusi  zaidi ya 130, zikiwemo ndege za kivita na ndege zisizo na rubani (Droni) aina ya "Hermes", "Heron" na ndege za kujilipua aina ya "Harop", na wamefanikiwa kuziharibu na kuziangusha katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Baadhi ya picha za mitambo ya kijeshi ya ulinzi wa anga ya Iran

Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Iran | Ulinzi wa Anga: "Tumepambana na ndege za Kijeshi na Droni 130 hadi leo asubuhi

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha